Baada ya taarifa rasmi kuhusu nusu fainali ya Carabao Cup kwa msimu wa 2021/22, sasa ni rasmi na FA Cup itakuwa na michezo ya marudio.
Msimu wa 2020/21, mashindano yote yalichezwa kwa mchezo mmoja pekee kutokana na wingi wa michezo ikilinganishwa na muda uliopangwa misimu kumalizika kutokana na madhara ya Covid19.
Mambo yanarudi kama ilivyokuwa hapo awali, kila timu itacheza nyumbani na ugeni kwenye mashindano ya FA Cup na Carabao Cup.

Kwa kombe la FA 2021/22, kuanzia mzunguko wa 4 – mfumo wa marudiano utaanza kutumika rasmi ikiwa ni sambamba na nusu fainali ya kombe la Carabao kwa msimu wa 2021/22.
Ratiba ya michezo wa Kombe la Shirikisho (FA), 2021/22:
8/9 Januari: Mzunguko wa tatu
5/6 Februari: Mzunguko wa nne
1/2 Machi: Mzunguko wa tano
19/20 Machi: Robo fainali
16/17 Aprili: Nusu fainali
14 Mei: Fainali.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!



Ernest
Sio mbaya