Spezia Wapigwa Rungu Na FIFA.

Habari mbaya kwa klabu ya Spezia inayocheza Serie A. FIFA imeifungia klabu hii kufanya usajili wowote kwa madirisha mmanne ya usajili.

Spezia wanakumbana na adhabu hii kufuatia uvunjifu wa sheria za FIFA na mamlaka za uhamiaji nchini Italia. Hili lilifanyika katika usajili wa wachezaji wadogo kutoka Nigeria. Sambamba na kufungiwa usajili, klabu hii pia imepigwa faini ya £393,000.

Hii ni habari mbaya zaidi kwa mchezaji wa zamani wa PSG na Barcelona, Thiago Motta ambaye alipewa kibarua cha kuwa kocha wa klabu hiyo wiki iliyopita.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.