Bale Harudi Tena Spurs,Nuno Athibitisha.

Baada ya kuitumikia Spurs kwa mkataba wa msimu mmoja chini ya Jose Mourinho, Gareth Bale hatorejea tena klabuni hapo.

Kocha mpya wa Spurs, Nuno Espirito Santo, amethibitisha kutokuwepo kwa Bale kwenye mipango ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao. “Hatokuwa sehemu ya kikosi chetu” alisema Nuno.

Gareth amerejea Real Madrid ambapo amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake pale Santiago Bernabeu na inaripotiwa mpaka sasa, hakuna timu yeyote iliyogonga milango ya Madrid kuulizia uwezekano wa kumsajili mchezaji huyo.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.