Baada ya kukamilisha usajili wa Jack Grealish, Man City inaripotiwa kuwaweka sokoni wachezaji wake wawili ili kuendana na masuala ya kiuchumi.
Grealish amejiunga na City kwa mkataba wa miaka 5 akitokea Aston Villa. Huu ni usajili ambao umeweka rekodi Uingereza kwa kitita cha £100M kuzidi £93.5 ambazo Man United walitoa kwenye usajili wa kumrudisha Paul Pogba pale Old Trafford (2016).

Majina ya wachezaji walioripotiwa kuwekwa sokoni na Man City ni Gabriel Jesus na Bernardo Silva. Wachezaji hawa wamekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Pep Guardiola hasa msimu uliopita lakini sasa ni dhahiri, watapata wakati mgumu baada ya ujio wa Grealish pengine na Harry Kane ambaye pia anahusishwa na klabu hiyo.
Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!



Sania+mapua
Hii sio poa