Julai 27,2021 Manchester United ilitangaza kufikia makubaliano na Real Madrid kuhusu usajili wa beki, Rafael Varane. Tangu hapo, beki huyu bado hajaonekana Old Trafford.
Ilitarajiwa Varane angeweza kusafiri kuekelea Manchester siku ya Jumatatu wiki hii lakini hilo halikuwezekana. Taarifa ziliripoti kuwa, Rafael alishindwa kusafiri kutokana na changamoto za visa.
Kwa sasa, beki huyo amefanikiwa kupata visa yake na tayari yupo nchini Uingereza. Atakaa karantini kwa siku chache kabla ya kufanyiwa vipimo vya afya na kukamilisha taratibu za usajili na Man United. Ama hakika, kwa sasa ni suala la muda tu kabla ya mashabiki wa United kumuona Rafael kwenye uzi mwekundu.
Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!



Sania+mapua
Tunasubiri muda ufike tuone hatma ya Varane