Mitanange ya kuiwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 inaendelea kwa kasi. Sio haba, Sweden imeivunja historia iliyodumu kwa miaka 28.
Sweden walikua nyumbani wakichuana na Uhispania katika mchezo wa kundi B kwenye hatua ya kufuzu Kombe la Dunia. Vijana wa Luis Henrique (Hispania) waliingia uwanjani wakiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo wowote kwenye hatua za kufuzu kwa takribani miaka 28.

Licha ya kuongoza kwa kupachika goli dakika ya 4, Alexander Isak na Viktor Claesson walitosha kuivunja historia ya Hispania ambao mchezo wao wa mwisho kupoteza kwenye hatua ya kufuzu, ulikuwa dhidi ya Denmark mwaka 1993.
Hakika, historia hufikiwa na huvunjwa!!
BADILI KILA KITU KWA SARAFU MOJA TU!
Unaweza kutengeneza faida kubwa huku ukiwa unaifurahia safari kabambe ya wacheza sarakasi kupitia sloti mpya ya Circus Fever Delux kupitia Kasino ya Meridianbet pekee Dau lako linaweza kukupa pesa maradufu kupitia kete au sarafu.



[email protected]
Habari njema