Dirisha la usajili wakati huu wa kiangazi, limekwisha. Wapo wanaoshangaa, kwanini Jesse Lingard hakurejea West Ham United baada ya kufanya vizuri msimu uliopita?
Inaaminika kuwa, The Hammers walikua na mpango wa kumrejesha Jesse klabuni hapo. Hii ni baada ya kufanya vizuri akiwa na timu hiyo msimu uliopita. Hakika ilikua ni wazi kuwa, David Moyes alimuhitaji Lingard kwenye timu yake japokuwa aliamua kurusha mpira kwa Man United kuamua.

Muda ulikwenda, hatimaye West Ham United wakaamua kuachana na mpango huo. Unajua ni kwanini? Ni hivi, Jesse Lingard aliamua kuweka wazi kuwa anataka kubaki Old Trafford na kuonesha uwezo wake. Kiufupi, Jesse hana mpango wa kuondoka Manchester United na yupo tayari kuipambania namba yake ndani ya kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer msimu huu.
BADILI KILA KITU KWA SARAFU MOJA TU!
Unaweza kutengeneza faida kubwa huku ukiwa unaifurahia safari kabambe ya wacheza sarakasi kupitia sloti mpya ya Circus Fever Delux kupitia Kasino ya Meridianbet pekee Dau lako linaweza kukupa pesa maradufu kupitia kete au sarafu.


