Salah

AXA Training Centre iliandaliwa hafla ya wafanyakazi wote na wachezaji kumpongeza na ilitengenezwa jezi maalum yenye namba 100, na wakakusanyika wote kwa picha ya pamoja.

Salah anashika nafasi ya tano katika mtiririko huo huku Alan Shearer akiongoza, pia akishika nafasi ya pili kwa wachezaji wa kiafrika wenye idadi nyingi ya magoli huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Didier Drogba aliyefunga  magori 104 akiwa na Chelsea.

Wachezaji Tarehe ya kufikisha goli 100 Idadi ya mechi
Alan Shearer 30/12/1995 124
Harry Kane 4/2/2018 141
Sergio Aguero 19/4/2016 147
Thierry Henry 10/2/2004 160
Mohamed Salah 12/9/2021 162