Solskjaer Anamjaza Sumu Sancho.

Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, ameanza kumjaza sumu winga wake – Jadon Sancho.

Sancho alijiunga na United akitokea Borussia Dortmund na ameyaanza maisha mapya ndani ya Old Trafford.

Japokua bado mashabiki wa United hawajauona ule moto wa Sancho uliozoeleka alipokua BVB, Solskjaer anaonekana kuwa karibu zaidi na winga huyu kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa.

Solskjaer
Ole akiwa na Sancho wakati wa mazoezi.

Ole anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kusimamia mchezaji mmoja mmoja na hilo linaweza kuwa ni msaada mkubwa kwa Sancho ndani ya United.

Man U watakua uwanjani kuchuana na Young Boys leo usiku kwenye Ligi ya Mabingwa. Bashiri na Meridianbet kwa kubofya hapa.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.