Solskjaer Amshangaa Atkinson Kuwanyima Penati

Solskjaer alishindwa kuelewa kwa nini Cristiano Ronaldo alinyimwa penati yake baada ya kuchezewa rafu na Vladimir Coufal katika eneo la kumi nane katika mechi iliyoisha kwa man utd 2-1.

Ronaldo alihitaji penati alipochezawa rafu na vladimir lakini refarii Martin Atkinson alikataa na wala hakuhitaji kupata msaada wa (VAR) na baadae tena ali mwamuzi Martin Atkinson alikataa tena penati ya wazi ambayo Ronaldo alichezewa tena rafu na Kurt Zouma na kuikataa tena.

Solskjaer
Solskjaer

Solskjaer nauhakika ile rafu ya Ronaldo ilikuwa penati  na hata ile ya pili pia ila sifahamu kwa nini Martin hakutoa penati.

“Hapana sifikili hivyo, ila ile faulo ya kwanza na ya tatu zilikuwa penati kwa asilimia 100,ila sijui kwa nini hawakutoa.”

Sir Alex Ferguson akimzungumzia maamuzi ya Atkinson, siwezi elezea hili, “wakufunzi wanafukuzwa kwa sababu ya mambo kama haya lakini yeye atasimamia mchezo mwengine mwisho wa wiki.”


Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.