Tottenham Kukata Rufaa ya Kupinga Maamuzi ya UEFA

Kocha mkuu wa klabu ya Tottenham Antonio Conte ameeleza kuhusu maamuzi ya UEFA ya kuwaondoa kwenye michuano ya “Europa Conference League” ni ya ajabu na amesema kuwa klabu yake itakataa rufaa mahakamani.

Rennes walipatiwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham kwenye mchezo wao wa mwisho kwenye hatua ya makundi baada ya mchezo huo kuahirishwa, kutokana na kupatikana na maambukizi kwa baadhi ya wachezaji na wasaidizi wa benchi la Spurs, hata hivyo UEFA walipanga tarehe nyingine ambapo klabu zote mbili zilishindwa kukubaliana.

Tottenham

“Tunauhakika wa kwenda nafasi inayofuata na narudia tunapaswa kucheza ilikuweza kumpata mshindi uwanjani na sio mahakamani, siwezi kukubali tumesikitishwa sana na maamuzi ya uefa.” Alisema Conte

Tottenham walihitaji ushindi kwenye mchezo wao wa mwisho ili waweze kupita kwenda hatua inayofuata kwa kupewa ushindi klabu ya Rennes kunawafanya watoke kwenye mashindano na kundu lao klabu ya Rennes na Vitese kkufanikiwa kwenda hatua inayofuata.

Conte amethibitisha kuwa kwa sasa klabu yake ya Tottenham haina mgonjwa yeyote wa uviko-19.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.