Benjamin Mendy Ashitakiwa kwa Makosa ya Ubakaji

Mlinzi wa klabu ya Manchester City Benjamin Mendy ameshitakiwa kwa makosa ya ubakaji kwenye mahakama ya Chester Crown Court aliposimama kusikiliza mashitaka ya kisomwa.

Mendy kwa sasa anashitkiwa kwa makosa nane tofauti dhidi ya wanawake watano ikihusishwa makosa saba ya ubakaji yanayowahusu wananwake wanne tofauti, makosa ya matatu ya awali ya ubakaji  yalitokea October 11 2020, unyanyasi wa kingono, January 2 2021, kosa lingine July 24 2021 na makosa mawili ya ubakaji  August 23 2021.

Benjamin Mendy aliwasili leo mahakamani akiwa amevalia suti nyeusi na alisimama kuzungumza kuweza kuthibitisha jina lake tu baada ya hapo hakuruhusiwa tena kuzungumza ili kupisha taratibu zingine ziendelee.

tarehe ya kusikilizwa tena kesi yake imepangwa tena hadi January 24 mwaka ujao huku tarehe ya hukumu  iktarajiwa kuwa kati ya June 27 au August 1, kwa sasa karudishwa tena lumande.

Benjamin Mendy alisimamishwa na klabu yake ya Manchester City baada ya mashataka kufunguliwa ili kuweza kupisha uchunguzi.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe