John Terry Arudi Tena Chelsea

John Terry ambaye amekuwa nje tokea alipoacha kazi kama kocha msaidizi wa klabu ya Aston Villa mwezi July sasa amepata kazi katika klabu yake ya zamani kama mshauri wa maendeleo wa timu za vijana.

John Terry kwa muda wake alioutumia akiwa na klabu ya Chelsea aliweza shinda mataji 17, yakiwemo mataji matano ya ligi kuu ya Uingereza na ligi ya mabingwa Ulaya mara moja.

John Terry

Terry mwenye umri wamiaka 41 ametangazwa kuwa kocha mshauri wa timu za vijana kwenye klabu ya Chelsea, alichapisha kwenye mtando wa kijamii “nina furaha kurudi nyumbani na kuchukua majukumu ya kazi ya ushauri wa timu za vijana ndani ya Chelsea.

“Pia nitakuwa na vipindi vya kuwafunza vijana uwanjani, nitakuwa najihusisha na mazungumzo ya kuwafunza na kuwapa elimu ya kuweza kujitambua iliwaweze kufikia malengo yao wachezaji wetu wa akademi.”


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.