Dirisha la usajiri mwezi January limefunguliwa huku kukiwa na tetesi mbalimbali za kweli na sizizo za kweli pia kuna tetesi imeibuka kuhusu kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes kuwa wakala wake anafanya mazungumzo na klabu ya Barcelona kuhusu kuhamia klabu hiyo.
Bruno Fernandes amekuwa hana wakati mzuri kwenye kikosi cha Ralf Rangnick, pia amekuwa akikosolewa sana hivi karibuni na vyombo vya habari na wachambuzi kuwa anashindwa kuendana na mfumo mpya wa Rangnick.

Nilidhani kuwa mwaka mpya ulianza siku chache zilizopita, kumbe bado tuko siku ya wajinga duniani!, ni hili tena au ni waandishi wasio na weredi?
Bruno Fernandes
Hivi karibuni kumekuwa na habari ambazo zinadai kuwa kiungo huyo wa zamani wa klabu ya Sporting CP amekuwa hana furaha kwenye kikosi cha Manchester na anataka kuondoka huku kukiwa na taaifa kuwa wakala wake yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Barcelona.
Hata hivyo mchezaji mwenye amekunusha kuwa hana mpango wa kuondoka kwenye klabu ya Man Utd kwa sasa, pia klabu ya Barcelona haiwezi kutumia kiasi kikubwa kusajiri kutokana na sheria za usawa wa kifedha zilizowekwa na shirikikisho la soka nchini Hispania.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


