AFCON 2021, kuanza rasmi baada ya kuahirishwa mwaka jana kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa korona, jumapili ya leo moto kuwaka viwanja mbalimbali nchini Cameroon.
Hapa chini tumekuwa makundi na historia fupi ya mafanikio na nafasi za juu zilizowai kufikia kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFCON 2021 na wachezji nyota wa timu kwa sasa.
Group A
Burkina Faso
Kocha mkuu: Kamou Malo
Mchezaji nyota: Bertrand Traore
Nafasi ya juu: Mshindi wa pili (2013)
Cameroon
Kocha mkuu: Antonio Conceicao
Mchezaji nyota: Andre Onana
Nafasi ya juu: Bingwa (1984, 1998, 2000,2002, 2017)
Cape Verde
Kocha mkuu: Bubista
Mchezaji nyota: Garry Rodrigues
Nafasi ya juu: Robo fainali (2013)
Ethiopia
Kocha mkuu: Wubetu Abate
Mchezaji nyota: Shemeles Bekele
Nafasi ya juu: Bingwa (1962)

Group B
Guinea
Kocha mkuu: Kaba Diawara
Mchezaji nyota: Naby Keita
Nafasi ya juu: Mshindi wa pili (1976)
Malawi
Kocha mkuu: Ronny Van Geneugden
Mchezaji nyota: Charles Petro
Nafasi ya juu: Hatua ya makundi (1984, 2010)
Senegal
Kocha mkuu: Aliou Cisse
Mchezaji nyota: Sadio Mane
Nafasi ya juu: Mshindi wa pili(2002, 2019)
Zimbabwe
Kocha mkuu: Norman Mapeza
Mchezaji nyota: Marvelous Nakamba
Nafasi ya juu: Hatua ya makundi (2004, 2006, 2017, 2019)
Group C
Comoros
Kocha mkuu: Amir Abdou
Mchezaji nyota: Said Bakari
Nafasi ya juu: Anashiriki kwa mara ya kwanza
Gabon
Kocha mkuu: Patrice Neveu
Mchezaji nyota: Pierre Emerick-Aubayemang
Nafasi ya juu: Robo fainali (1996, 2012)
Ghana
Kocha mkuu: Milovan Rajevac
Mchezaji nyota: Thomas Partey
Nafasi ya juu: Bingwa (1964, 1965, 1978, 1982)
Morocco
Kocha mkuu: Vahid Halilhodzic
Mchezaji nyota: Achraf Hakimi
Nafasi ya juu: Bingwa (1976)

Group D
Egypt
Kocha mkuu: Carlos Quieroz
Mchezaji nyota: Mo Salah
Nafasi ya juu: Bingwa (1957, 1959, 1986, 1998, 2006, 2008, 2010)
Guinea-Bissau
Kocha mkuu: Baciro Cande
Mchezaji nyota: Mauro Rodrigues
Nafasi ya juu: Hatua ya makundi (2017, 2019)
Nigeria
Kocha mkuu: Augustine Eguavoen
Mchezaji nyota: Kelechi Iheanacho
Nafasi ya juu: Bingwa (1980, 1994, 2013)
Sudan
Kocha mkuu: Burhan Tia
Mchezaji nyota: Ali Abu Ashreen
Nafasi ya juu: Bingwa (1970)
Group E
Algeria
Kocha mkuu: Djamel Belmadi
Mchezaji nyota: Riyad Mahrez
Nafasi ya juu: Bingwa(1990, 2019)
Ivory Coast
Kocha mkuu: Patrice Beaumelle
Mchezaji nyota: Maxwel Cornet
Nafasi ya juu: Bingwa (1992, 2015)
Equatorial Guinea
Kocha mkuu: Juan Micha
Mchezaji nyota: Emilio Nsue
Nafasi ya juu: Mshindi wa nne (2015)
Sierra Leone
Kocha mkuu: John Keister
Mchezaji nyota: Steven Caulker
Nafasi ya juu: Hatua ya makundi (1994,1996)
Group F
Gambia
Kocha Mkuu: Tom Saintfiet
Mchezaji nyota : Ebrima Darboe
Nafasi ya juu: Anashiriki kwa mara ya kwanza
Mali
Kocha mkuu: Mohamed Magassouba
Mchezaji nyota: Amadou Haidara
Nafasi ya juu: Mshindi wa pili(1972)
Mauritania
Kocha mkuu: Didier Gomes Da Rosa
Mchezaji nyota: Guessouma Fofana
Nafasi ya juu: Hatua ya makundi (2015)
Tunisia
Kocha mkuu: Mondher Kebaier
Mchezaji nyota: Hannibal Mejbri
Nafasi ya juu: Bingwa (2011)
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


