Ligi ya Saudia Arabia bado haijamalizana na mpira wa Uingereza Inamtaka tena MO Salah, baada ya kuwachukua wachezaji baadhi waliokipiga katika Ligi Kuu ya Uingereza (Premier League) kama Ng’olo Kante, Khalidou Coulibally, Riyad Mahrez, Eduardo Mendy, Saint Maximinn, Aymeric Laporte, Ruben Neves n.k, Sasa unaweza kubashiri mechi za Ligi ya Saudia Meridianbet, kila mechi ina odds kubwa na machaguo kibao, kazi ni kwako.
Mohamed Salah huenda akaungana na marafiki zake ambao amewahi kucheza nao katika klabu ya Liverpool kama Henderson, Firminho, na Sadio Mane wanaokipiga kwenye Ligi hiyo yenye ukwasi mkubwa duniani.
Ripoti mbalimbali kutoka Uingereza zinasema kwamba Salah ameuomba Uongozi wa Liverpool umruhusu kuhamia Saudi Pro League.Maokoto ya kutosha unayapata Meridianbet pekee, Bashiri kirahisi ukibonyeza hapa.
Klabu ya Al-Ittihad inadaiwa kuweka mezani ofa ya zaidi ya pauni milioni 79 (billioni 247.8 TZS) kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31. Kwa maokoto haya unadhani Mo Salah atakataa?
Mo Salah ni moja ya wachezaji bora zaidi duniani na anajulikana kwa kasi yake, uwezo wake wa kupiga chenga na usahihi mbele ya lango.
Tangu ajiunge na Liverpool, Mo Salah ameshinda taji la UEFA Champions League na Premier League – akiisaidia klabu hiyo kufikia Kombe lake la sita la Uropa na taji la kwanza la ndani baada ya miaka 30 mtawalia. Kuwa moja ya washindi wa kila siku kutoka Meridianbet kila ubashiri kwa dau dogo la Tsh 250/= TU PIGA *149*10#