Anthony Martial Kuondoka Utd Mwishoni mwa Msimu Huu.

Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial, yuko mbioni kuondoka Old Trafford mwishoni mwa msimu huu kama mchezaji huru, kwa mujibu wa bingwa habari za usajili Fabrizio Romano. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

 

Martial
Mshambuliaji hatari wa Man Utd Anthony Martial akimtoka mpinzani wake kwenye mechi ya Uropa dhidi ya Sevilla.

Mfaransa huyo yuko karibu kuwa mchezaji huru baada ya kazi ndefu na Manchester United, lakini bado haijawekwa wazi atajiunga na timu gani, kulingana na taarifa za hivi karibuni za Romano.

Akizungumza kwenye kipindi cha Daily Briefing, Romano alifafanua kwamba Martial bila shaka atakuwa njiani kuondoka Man Utd mwishoni mwa msimu huu, lakini bado itachukua muda kabla hajachagua hatma yake inayofuata. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mwandishi huyo alifichua kwamba Martial hapo awali alipuuzilia mbali masilahi kutoka vilabu vya Kituruki kwani alitaka kuchukua muda katika mustakabali wake, na suala moja sasa ni kwamba anasubiri vilabu vingine kufanya maamuzi kama vile hali za ufundi kwa msimu ujao.

Akijadili mambo ya hivi karibuni kuhusu mustakabali wa Martial huko Man United, Romano alisema: “Nilizungumza katika kuhusu wachezaji ambao wangeweza kuondoka Manchester United, na mmoja wa kuzungumzia ni Anthony Martial kwani anaelekea mwisho wa mkataba wake.

“Bado hakuna kitu kilichoamuliwa kuhusu hatua inayofuata ya Martial, atachukua muda kufanya maamuzi, bado ni mapema na vilabu vingi bado havijathibitisha kwa hiyo Martial anasubiri. “Ninachoweza kusema ni kwamba hakuwa ameathirika na mapendekezo kutoka Uturuki mwezi Januari na alitaka kusubiri. Lakini bila shaka, matarajio yanaendelea kwamba Martial anaondoka Man United kama mchezaji huru msimu huu wa joto.”

Martial alikuwa na mwanzo mzuri katika kazi yake hapo Man United alipojiunga akiwa kinda, lakini ni haki kusema kwamba kamwe hakufikia uwezo wake kamili na sasa labda ni wakati sahihi kwake kuchagua kuendelea na safari ya maisha kwingine. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Acha ujumbe