Dili Jipya la Yanga Lipo Namna Hii| Wanachama Kutibiwa Bure

Klabu ya Yanga Feburari 6, 2024 imesani mkataba wa miaka miwili na Hospitali ya Aga Khan kwa ajili wachezaji kufanyiwa vipimo vya afya bure na Wanachama wake kupata punguzo kubwa la bei wanapokwenda kutibiwa kwenye Hospitali ya Aga Khan wakiwa na kadi zao za Uanachama. Sehemu pekee ya kupata pesa kwa urahisi na usiwe na hofu juu ya mataibabu ya afya kwa uhakika zaidi ni kubashiri na Meridianbet, machaguo 1000+ yote yakiwa na odds kubwa.

yanga

Rais wa Klabu ya Yanga Eng.Hers Said alisema: “Lengo la klabu ya Yanga kuingia mahusiano na Hospitali ya Aga Khan ni kuwafikia wanachama wetu katika huduma za afya kwa bei pungufu.

“Tunafahamu kuwa kuna watu wanafikra kuwa Hospitali ya Agha Khan ni hospitali ya bei ghali lakini niwatoe wasiwasi mtakapokwenda kwenye matawi ya Agha Khan maeneo mlioyopo kwa kutumia kadi za uanachama za Yanga SC.

“Mwanachama wa Yanga mwenye kadi ya Uanachama ambayo ni kadi hai atapata punguzo la gharama baada ya kutibiwa katika Hospitali za Aga Khan,” alisema Rais Yanga, Injinia Hersi Said.

Kwa upande wa Sisawo Konteh ambaye ni Mtendaji Mkuu Aga Khan Hospital. Yeye aliweka wazi sababu za wao kuamua kuingia makubaliano hayo na Yanga Kwa kipindi hiki. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Tunajivunia kuingia mkataba wa kutoa huduma za afya kwa wanachama wa klabu yenye historia kubwa sana Tanzania. Sisi kama Aga Khan tumekuwa na heshima kubwa ya kutoa huduma za afya kwa jamii, lakini mahusiano haya yanatupatia heshima ya kipekee.

“Tunawajibu mkubwa kuhakikisha tunautumikia mkataba huu kwa juhudi kubwa.”

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe