Leo asubuhi Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Ally Said alishiriki kwenye matembezi ya hisani ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani,
Eng.Hersi aliungana na kituo cha Baba Oreste chini ya mratibu wa kituo hicho Easter Zimba.
Matembezi haya yalioanzia Bunju A na kumalizikia kwenye kituo hicho huku yakilenga kuhamasiha jamii na kupinga ukatili dhidi ya watoto wenye ulemavu.