Harry Winks Mbioni Kujiunga na Leicester City

tottenham winks

Harry Winks yuko karibu kujiunga na Leicester City akitokea Tottenham kwa uhamisho wa kudumu. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Leicester wanaijenga upya timu yao huku wakitarajia kurejea Ligi Kuu mara moja baada ya kushuka daraja msimu uliopita.

Winks ni mhitimu wa akademi ya Spurs lakini amepoteza nafasi yake katika timu kwenye misimu ya hivi karibuni, baada ya kukaa kwa mkopo katika klabu ya Sampdoria ya Italia, ambapo alicheza mechi 20 za Serie A.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 sasa amerejea London Kaskazini lakini, akiwa amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, Tottenham wako tayari kumwachia.

Na anaonekana atarudi kwenye Premier League akiwa na Leicester, ambao wanakaribia kumnunua mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Uingereza kwa paundi milioni 10.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Uhamisho huo utakuwa tofauti na mkataba ambao utamfanya nyota wa Foxes James Maddison kwenda Spurs.

Odds kbwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi.

Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe