Malouda Akosoa Chelsea Kuuza Wachezaji Hovyo

Mateo Kovacic Kuongezwa Mkataba

Nyota wa zamani wa Chelsea Florent Malouda amesema Chelsea inauza wachezaji ‘bora’ kwa vilabu pinzani kwa sababu wachezaji hao hawaendani na mipango ya timu hiyo chini ya Todd Boehly. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Kwa upande wa Mateo Kovacic amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Man City na Kai Havertz akitarajiwa kusajiliwa na Arsenal, Chelsea wanauza wachezaji msimu huu wakijaribu kufuata sheria za Financial Fair Play.

 

chelsea

Upande mwingine N’Golo Kante na Kalidou Koulibaly wamekwenda Saudi Arabia na wengine zaidi wanafuata, huku Mason Mount pia akitarajiwa kuondoka. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Chelsea haikuuza wachezaji kwa wapinzani chini ya Roman Abramovich kwa sababu moja rahisi: klabu ilikuwa na ushindani mkubwa,” Malouda alisema.

“Wachezaji walitaka kubaki kwa sababu kulikuwa na mawazo ya kushinda, Chelsea walikuwa wakishindania tuzo kubwa zaidi.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Tunachokiona kwa sasa, kuuza wachezaji kwa wapinzani, hii haihusiani na FFP pekee, hii ni kwa sababu wachezaji ambao watasonga mbele hawaamini kabisa kile kinachotokea katika klabu.”

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe