maddison

Tottenham wanakaribia kukamilisha dili la James Maddison kwa dau la paundi milioni 40. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Maddison mwenye umri wa miaka 26 atafanyiwa vipimo vya afya leo baada ya Leicester kukubali ofa ya Spurs kwa kiungo huyo wa kati wa Uingereza. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Leicester walikuwa na matumaini ya paundi milioni 60, lakini walipunguza bei hiyo huku wakitaka kukijenga upya kikosi chao kujaribu kupata nafasi ya kurejea Ligi Kuu.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


Klabu hiyo ya kaskazini mwa London imekuwa mahali anapopendelea zaidi Maddison, licha ya nia ya Newcastle.

Akiwa amerejea kutoka likizo Jumanne, ataelekea London leo na kukamilisha mabadiliko hayo. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa