Erling Haaland Kule KDB Nyuma Yao Pep, Lazima Ulie

Kosi la Mabingwa wa UEFA, EPL, na FA  Manchester City linatisha sana hii ni baada ya kuendelea kutembeza vipigo vikubwa vikubwa kwa timu, kama vile Man Utd, Chelsea, Luton Town ambaye amebamizwa bao 6-2 huku mastaa kibao wakiwaka, kama vile Erling Haaland, Kelvin De Bryune. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Haaland

Kiungo mwenye kiwango kikubwa sana uwanjani kwa sasa pale EPL Kelvin De Bryune amezidi kufanya mabalaa kwa kutoa asisti 4, na kubwa zaidi zote kampatia Haaland ambaye alifunga mabo 5 huku akizitumia vyema kabisa nafasi za KDB. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mara baada ya mchezo kumalizika Haaland alielezeamchango wa KDB alisema yafuatayo: “Bila shaka, mkubwa sana! Angalia anachofanya!

Anafanya kile alichonacho bora na ni furaha kucheza naye.”

Akitoa maoni kuhusu uhusiano wao na tabasamu usoni mwake, alisema kwa kifupi: “Sio mbaya! Ni mzuri sana.”

Aliendelea kusema: “Nadhani tunajua tunachotaka kutoka kwa mwingine, tunatazamana mara kwa mara wakati wa mchezo.

“Na inafanya kazi vizuri, yeye ni mtu mwerevu, na napenda kucheza na watu wenye akili.”

Jisajili na Meridianbet upate bonasi kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Acha ujumbe