Jurgen KloppJurgen Klopp alisema Come Back ya Liverpool wakiwa na wachezaji 10 dhidi ya Newcastle ulikuwa moja ya ushindi bora zaidi ambao amewahi kuupata katika maisha yake ya Ukocha. Meridianbet odds kubwa machaguo kibao mechi zote.

Mchezo huo wa kushangaza haukuwa tofauti na mchezo wowote ambao amewahi kupata katika miongo miwili ya ukocha.

Darwin Nunez alifunga mabao mawili ya dakika za lala salama akitokea benchi katika ushindi wa kishindo kwa Liverpool, ambao ulimfanya nahodha Virgil Van Dijk kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Alexander Isak katika kipindi cha kwanza na kufunga bao moja baada ya mchezaji wa zamani wa Everton Anthony Gordon kufunga.

Jurgen Klopp, ambaye alitumia muda mwingi wa mechi akionekana kukasirishwa na maamuzi ya waamuzi, alisema labda huu ulikuwa ushindi wake bora kama meneja. Cheza kasino ya mtandaoni na bashiri soka ushinde kirahisi kupitia Meridianbet.


 

Jurgen Klopp

Alipoulizwa ikiwa ndivyo ilivyokuwa, alisema: ‘Hakika. Ilikuwa ngumu zaidi kuliko mchezo wa Barcelona (ambapo Liverpool walipindua meza ya mabao 3-0 ya mkondo wa kwanza).

“Katika mechi zangu 1,000 kama kocha sijawahi kuwa na mchezo kama huu. Nikiwa na wanaume 10 katika mazingira kama haya dhidi ya mpinzani mgumu, nina hakika haijapata kutokea, nyakati hizi ni nadra na maalum sana.

“Nilisema wakati wa mapumziko kwamba hii (inaweza kuwa) kweli kitu tunaweza kuwaambia wajukuu zetu. Nitaona yangu ndani ya siku 10 na nitawaambia. Mambo mawili yalikuwa wazi wakati huo: hatuwezi kuruhusu hata sekunde moja, Trent (Alexander-Arnold) hawezi kupata kadi nyingine ya njano – na hilo likitokea tuna nafasi.” Alisema Jurgen Klopp.

Ligi mbalimbali zinaendelea unaweza kubashiri mubashara na kutengeneza jamvi lako lenye odds kubwa, kwa kubonyeza hapa.

BETI


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa