Mateo Kovacic Atoa Neno kwa Chelsea Akitimkia City

Mateo Kovacic ametoa kauli ya kwanza kwa Chelsea baada ya kusajiliwa na Man City. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.


Kiungo huyo wa kati wa Croatia alifurahia kipindi cha mafanikio Stamford Bridge, akinyanyua mataji ya Uefa Champions League na Ligi ya Europa, lakini hakushinda tuzo yoyote ya ndani tangu kuwasili kwake akitokea Real Madrid.

 

mato kovacic

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Na sababu hiyo inaelezwa kumfanya Mateo Kovacic kujaribu bahati yake akiwa na jezi ya Manchester City. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Nilifurahia msimu mzuri lakini sasa ni wakati wa kufungua ukurasa mpya na kushinda,” alisema Kovacic

“Man City ni klabu kubwa ambapo unaweza kushinda mengi na nitafanya kila niwezalo kujaribu kushinda kila mwaka. Kukusanya vikombe ndio jambo muhimu zaidi.”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe