Lebron James Avunja Rekodi ya Kuwa Mfungaji Bora wa Muda Wote NBA

Imeelezwa kuwa LeBron James hana mpango wa kustaafu hivi karibuni, licha ya kumpita Kareem Abdul-Jabbar na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa NBA. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

lebron james

Mshambuliaji huyo wa Lakers, (38) aliingia kwenye mechi dhidi ya Oklahoma City akihitaji pointi 36 ili kufikia rekodi ya kufunga mabao, na alimaliza na pointi 38 ila Lakers walipoteza mchezo kwa pointi 3 ambapo matokeo yalikuwa ni pointi 133-130.

Lakini lilikuwa ni tabasamu kwenye uso wa Lebron James kwenye kelele katika usiku wake wa kihistoria na aliulizwa ikiwa bado ana motisha ya kucheza kwa sasa yuko juu kama mfungaji wa muda wote wa NBA.

“Ninahisi kama kikundi chochote cha vijana, kwa upendeleo wowote, naweza kwenda huko na bado kusaidia kushinda ubingwa kadhaa au kushinda ubingwa, kwa hivyo hayo ndiyo mawazo yangu.”

Aliongeza: “Ni maajabu kwa sababu ni kitu ambacho sikuwahi kufanya lengo langu au kuazimia kufanya.”

Lebron James aliingia kwenye mchezo dhidi ya OKC akihitaji pointi 36 kuvuka rekodi ya pointi 38,387, ambayo iliwekwa na Abdul-Jabbar mwaka 1989.

 

lebron james

Aliifkia rekodi hiyo huku sekunde 10.9 zikisalia katika robo ya tatu na kumfanya kuandika historia nyingine kwenye maisha yake. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Umati wa watu, ambao walikuwa wamelipa maelfu ya dola kuwa kwenye uwanja huo kwa usiku huo wa kihistoria, ulilipuka huku akielekeza anga, na kisha kwa familia yake.

Kufuatia mkwaju huo uliovunja rekodi, James aliondoka huku mikono yake ikiwa hewani kabla ya kuandamwa na wachezaji wenzake na hatimaye wanawe, Bronny na Bryce, pamoja na mkewe, Savannah. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Wasanii kama Rihanna, Drake, Kendrick Lamar, Snopp Dogg, pamoja na nguli wa mpira wa vikapu, Stephen Curry na Shaquille O’Neal walitoa pongezi kwa Lebron James kwa kufanikisha kazi hiyo katika mfululizo wa jumbe za video.

Lebron James, ambaye alijiunga na Lakers kutoka Cleveland Cavaliers mwaka 2018, ndiye mchezaji aliyeingiza fedha nyingi zaidi katika historia ya NBA. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Aliongeza mkataba wake kwa miaka miwili na Lakers wenye thamani ya $97.1million (£80.6m) mwezi Agosti. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.