Man City Kushushwa Daraja, Guardiola Atangaza Kuondoka

Manchester City wanatarajia Pep Guardiola kuwa tayari ameondoka kabla ya uwezekano wa vikwazo vyovyote kwa ukiukaji wa sheria za kifedha kuathiriwa, kulingana na ripoti mpya. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

guardiola
Manchester City

Katika tangazo la kushtukiza siku ya Jumatatu, Premier League iliishtaki City kwa ukiukaji wa sheria zaidi ya makosa 100 wa kifedha katika misimu iliyopita.

Mashtaka dhidi ya mabingwa hao watetezi yanahusiana na taarifa za fedha kuhusu mapato, maelezo ya malipo ya meneja na wachezaji, kanuni za UEFA, faida na uendelevu na ushirikiano na uchunguzi wa Ligi Kuu.

Akizungumza Mei 2022, Guardiola aliapa: “Niliwaambia, ikiwa wananidanganya, sitokuwa hapa Nitaondoka,” Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

guardiola

Lakini ripoti ya Athletic inapendekeza kwamba kuna matarajio kwamba Guardiola hatakuwa kocha kufikia wakati vikwazo vyovyote vitakavyotolewa dhidi ya City.

Suala hilo sasa litapelekwa kwa tume huru, na iwapo mabingwa hao wa Uingereza watapatikana na hatia watakabiliwa na vikwazo mbalimbali ikiwemo kukatwa pointi au hata kushushwa daraja.

Guardiola aliripotiwa kuwa mmoja ya watu wa kwanza kuambiwa habari hizo miongoni mwa viongozi wakuu wa City kabla ya kutangazwa hadharani Jumatatu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Baadaye siku hiyo kikosi cha kwanza na wafanyakazi wengine waliripotiwa kupewa taarifa za uchunguzi huo.

Pep Guardiola alisimama na klabu hiyo na maafisa wake mnamo 2020 walipopigwa marufuku ya miaka miwili kushiriki Ligi ya Mabingwa (UCL) kwa kukiuka kanuni za Financial Fair Play (FFP).

Kutokana na kukata rufaa na kuonekana kutokuwa na hatia, City iliondolewa na Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo kwa mashtaka yote miezi mitano baadaye, huku Guardiola akiwa miongoni mwa wale waliotaka msamaha kutoka kwa wakosoaji.

Lakini hata hivyo Guardiola alikuwa amewaonya mabosi wake kwamba angeacha kazi iwapo watamdanganya kuhusu ukubwa wa shughuli zao za kifedha. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Alisema: “Ikiwa nitatetea watu na klabu ni kwa sababu nafanya nao kazi. Nilipouliza kuhusu tuhuma au ikiwa watu wetu wamefanya jambo fulani, basi ninawaambia waniambie”.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.