Mshery Awatoa Hofu Yanga

KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery mrithi wa mikoba ya Djigui Diarra ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa malengo makubwa yaliyopo ni kupata ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza Kwa Sasa. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

 

yanga

Na kuwatoa hofu mashabiki wa Yanga kuwa Kila Mchezaji akiwemo yeye wanajua nini Wanatakiwa kufanya Ili kuendelea kuipa ushindi timu hiyo.

Mshery ambaye alikuwa langoni kwenye mechi ya Jana dhidi ya Dodoma Jiji waliyoshinda bao 1-0, alieleza namna ambavyo wanatamani kufanya vizuri zaidi Msimu huu kuliko Msimu uliopita. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Mashabiki wetu wasiwe na wasiwasi, Kwa Sababu waliona tulikosa ushindi Bukoba wakajua labda timu imepoteza uelekeo.

“Kila Mchezaji hapa anataka kuipa mafanikio timu na Kila mmoja akipewa nafasi anaipambania nembo ya klabu, tunahitaji kupata mafanikio makubwa zaidi Msimu huu,” alisema.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni chanzo cha kuvuna mihela.

Acha ujumbe