Aboutwaleeb Mshery , Amechumia Manungu Analia Jangwani

Aboutwaleeb Mshery Aliingia Mtibwa akiwa na umri wa miaka 16 akitokea Moro Kids Academy ambao walimuona tangu viwanja vya SUA pale Morogoro

Historia yake imeanza kuandikwa kwenye Jiji la Tanga kabla ya kuja Morogoro kwa Dada yake Kwa ajili ya masomo na mambo mengine

Aboutwaleeb Mshery
Aboutwaleeb Mshery

Pale Manungu akiwa na miaka 16 ilianza darasa halisi la mpira, kukazia maarifa kutoka Moro Kids, akahitimu kwenye Kila daraja na kuvaa joho la Chuo cha Manungu

Mtibwa ikamleta Golikipa Kijana na Nahodha Mdogo zaidi kwenye Premier League ambaye Kila mechi kwake ilikuwa kama fainali ya kuthibitisha ubora

Unapata wapi klabu nchini kama Mtibwa ambayo inampa nafasi Mtoto Mdogo mbele ya Shabaan Kado na Said Nduda? Inampa Unahodha mbele ya Magwiji?

Ana miaka 22 hivi sasa, anasimama kwenye milingoti ya Wananchi wa makutano ya Twiga na Jangwani, sisi tunamtakia kheri! All the best Captain Aboutwaleeb Hamidu Mshery in GREEN AND YELLOW


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe