Rodgers Hanamashaka na Tielemans

Wakati Youri Tielemans akihusishwa na baadhi ya vilabu kwenye dirisha hili la usajili, kocha wake, Brendan Rodgers wala hashtuki.

Tielemans amebakiza miezi 18 kwenye mkataba wake na Leicester City. Ni kawaida, kwa wachezaji wa kariba ya Tielemans kuvutia vilabu vikubwa barani Ulaya. Swali ni, Youri mwenywe anaonaje hali hii?

Kuelekea mchezo wa muendelezo wa EPL dhidi ya Burnley, Rodgers ameweka wazi kile anachokiona yeye. Kimsingi, hanamashaka yeyote na uwepo wa Tielemans. Licha ya kubakiza muda mfupi kwenye mkataba wake, Brendan anasisitiza ataendelea kufanya nae kazi kama kawaida.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe