Mshambuliaji wa Liverpool Darwin Nunez amefananishwa na Marcus Rashford wa zamani kutokana na umaliziaji wake mbovu huku mshambuliaji huyo wa Liverpool akiendelea kutatizika mbele ya lango. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Akiwa amesajiliwa kwa mkataba wa rekodi ya klabu msimu uliopita wa kiangazi kwa mkataba uliopanda hadi paundi milioni 85, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amefunga mabao matano pekee ya Premier League katika mechi 15.
Na kwa mara nyingine aliambulia kipigo cha mabao 3-0 Jumamosi wakiwa ugenini dhidi ya Wolves ambapo alipuuza nafasi muhimu ya kuirejesha timu yake mchezoni. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay alikimbia kwa kasi kuelekea lango, lakini alishinda juhudi zake moja kwa moja kwa Jose Sa aliposhindwa kupunguza nusu ya mabao hadi 2-1.
Nunez bado hajafunga katika ligi ya daraja la kwanza tangu mapumziko ya Kombe la Dunia, huku Tony Cascarino mhsambuliaji wa wa zamani Chelsea akionya mchezaji huyo ‘hatasalimika’ Anfield ikiwa ataendelea kufanya vibaya.
Cascarino anaamini kwamba umaliziaji wa Nunez ni sawa na jinsi Rashford alivyonyakua nafasi miaka michache iliyopita. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Lakini Mchezaji huyo wa Manchester United sasa ni mmoja ya washambuliaji hatari zaidi akiwa na mabao sita katika mechi saba zilizopita. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

