Olivier Giroud Golikipa Afanya Save ya Hatari

giroud golikipa

Olivier Giroud Golikipa aliokoa mchomo wa kushangaza baada ya kumrithi Mike Maignan langoni kwa AC Milan baada ya kupata kadi nyekundu. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Miamba ya Italia walikuwa wakikabiliana na Genoa katika Serie A na wakaongoza katika dakika ya 87 kupitia bao la Christian Pulisic. Lakini wakati Milan walikuwa wakipoteza muda, kipa Mike Maignan alijikuta kwenye utata baada ya kumgonga Caleb Ekuban kwenye goti lake.

Faulo ya Maignan ilipelekwa kwenye ukaguzi wa VAR na uamuzi ulifanywa kuwa rafu yake ilionekana kuwa ni madhambi ya kukusudia na kuondoshwa uwanjani.

Olivier Giroud

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kwa dakika chache tu zilizosalia na Stefano Pioli kufanya alikuwa kamaliza mabadiliko yote, Giroud Golikipa alionyesha kwanini yeye ni mchezaji wa timu wa hali ya juu kwa kuvaa glavu za Maignon na kuchukua nafasi yake langoni.

Kuwaona wachezaji wa miaka 37 wakiwa na jezi ya kipa ilikuwa ni jambo la kushangaza, lakini wapenzi hawakujua kwamba mfungaji bora wa muda wote wa Ufaransa alikuwa hodari kuwa kizuizi cha mwisho wa ulinzi. Genoa walikuwa wakishambulia kwa lengo la kusawazisha wakati mpira ulipigwa juu ya ulinzi wa AC Milan na kuingia kwenye njia ya mshambuliaji.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lakini bila kuonyesha hofu yoyote, Giroud Golikipa alikuwa haraka kufuatilia mpira na mikono yake kabla ya kuudunda chini na kuuweka salama kifuani mwake.”

Acha ujumbe