PSG Yampa Mshahara Mnono Manuel Ugarte Zaidi ya Chelsea

manuel Ugarte

Manuel Ugarte kiungo mkabaji anayelengwa zaidi na Chelsea anaripotiwa kupewa pesa nyingi zaidi na Paris Saint-Germain huku msimamo wake ni kucheza Premier League. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Ingawa mchezaji wa kimataifa wa Uruguay Ugarte, 22, anapendelea kuhamia Stamford Bridge kwa sababu anataka kujipima nguvu kwenye Premier League.

Kwa mujibu wa Gazeti la Ureno Record linasema kwamba Ugarte alifahamu Jumanne kwamba PSG watampa mshahara wa €3million [£2.6m] zaidi ya Chelsea. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Manuel Ugarte, ambaye ameonesha uwezo wake katika klabu ya Sporting Lisbon na pia kuwa mchezaji wa kawaida katika timu ya taifa ya Uruguay katika mwaka uliopita.

Ripoti ya Record iliripoti wiki hii kwamba Ugarte anapendelea kuhamia Chelsea badala ya PSG, huku Chelsea wakikubali kulipa kiasi cha kuvunja mkataba wake pamoja na £4 milioni ziada kama bonasi. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Pia kulikuwa na uvumi kwamba David Datro Fofana anaweza kutolewa kwa mkopo kwenda Sporting Lisbon kama sehemu ya makubaliano hayo. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.