Yusuf Dabo: Awataja Feisal na Prince Dube Azam FC Ikijiandaa Kukusanya Alama Zaidi.

Yusuph Dabo Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum, mshambuliaji Prince Dube ni kujitoa muda wote kutafuta ushindi. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Timu hiyo maskani yake ni Dar inatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kwenye ligi baada ya kucheza mechi mbili ni pointi sita zipo kibindoni.

Dabo ni shuhuda wa nyota Feisal kuwa wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Azam FC katika mchezo dhidi ya Tabora United.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kocha huyo amesema: “Kwa namna ambavyo tunafanya maadalizi kwa mechi zijazo ni muhimu kwa wachezaji kucheza kwa kujitoa zaidi ili kupata matokeo mazuri uwanjani.

“Tunaamini kuna makosa ambayo yanatokea hayo tunayafanyia kazi ili kuwa imara kwa mechi zijazo. Ushindani ni mkubwa hilo lipo wazo nasi tunajitahidi kufanya kazi nzuri kupata matokeo,”.

Azam FC walicheza jana dhidi ya Singida Fountain Gate na kushinda mabao 2-1 kwenye mechi ambayo ilikuwa na Ushindani mkubwa. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe