Pep Guardiola ametoa maoni yake kuhusu mahusiano yake na bodi ya klabu ya Manchester City kutokana na mazungumzo yanayoendelea kuhusu mazungumzo ya kuongeza tena kandarasi ya kuino klabu hiyo.

Baada ya kupoteza kwenye mchezo wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa siku ya jumatano dhidi ya Real Madrid, jumapili leo wanashuka dimbani kuwakabili Newcastle United kwenye dimba la Etihad, huku akiwa anashika nafasi ya pili baada ya jana Liverpool kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Tottenham kwenye dimba la Anfield.

Pep Guardiola
Pep Guardiola

Kutokana na mazungumzo ya mkataba mpya kati ya klabu hiyo na Pep Guardiola, aliitetea klabu hiyo na bodi akijibu waandishi kwenye kikao na waandishi habari kabla ya mchezo wa Newcastle siku ya Ijumaa jioni.

“Watu wanposema au kutushtumu sisi, nawauliza waniambie kuhusu hili na nawaelewa ikiwa ikiwa watanidangaya siku ambayo sitakuwepo hapa. Siku ambayo sitakuwepo, hamtakuwa marafiki zangu tena. kwaiyo nimewekwa imani na nawaamini kwa asilimia 100 tokea siku ya kwanza.

“Wanawatendea vizuri watu wetu, hususani mashabiki. mimi ni meneja na nazungumza kwa ajiri ya klabu na nipo hapa kila baada ya siku tatu.

“Sikiliza, kila neno nililosema kwenye mkutano huu, hata kama watu hawataniamini  kila nililosema ni kwa sababu ni ukweli, ni ukweli amini hili. Naitetyea klabu na watu wake kwa sababu nafanya nao kazi.”  Alisema Pep Guardiola


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa