Maambukizi ya COVID19 bado ni changamoto kwenye ulimwengu wa michezo. Klabu ya Derby County kuwakosa wachezaji na benchi la ufundi la kikosi cha kwanza.
Derby County wameripoti baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa klabu hiyo wameathirika na COVID19 ikiwa ni sambamba na muingiliano wa waathirika na watu wengine ambao hawakuathirika.
Kwa sababu hiyo, wachezaji wote wa kikosi cha kwanza pamoja na wafanyakazi na benchi la ufundi watakaa karantini kwa muda kama sehemu ya kujilinda zaidi.

Pamoja na hilo, uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo umefungwa kwa muda. Derby watawatumia zaidi wachezaji wa vikosi vya U23 na U18 kwenye mchezo wa raundi ya 3 ya FA jumamosi hii dhidi ya Chorley
Sheria ya FA inaruhusu mchezo kuendelea endapo timu itakuwa na wachezaji 14 waliokidhi vigezo vya kucheza. Idadi ya wachezaji 14 inajumuisha wachezaji wa timu za vijana (U23 na U18).
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Asant kwa taarifa
Sabrina
Duuh hii Covid sio poa
Adelta
Hili gojwa sio poa mwenyezi mungu atuepushe
Gabriel
Hatar sana
Magdalena
Ugonjwa wa corona hatari
warda
Daaaa pigo kubwa sana
Sania
Duh hili gonjwa la kihistoria
Neema juma
Gonjwaa balaa hilii
Tatu
Balaa
Rahmal
Mungu atuepushe tyu maana gonjwa alifai kabisa
Caroline
Hii coronavirus Mungu tuondolee
farida ahmad
Mungu hatuepushe na janga hili
Saupha mohamed
Gonjwa atalii
Dorophina
Pole kwao derby hili ni tatizo sasa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu hari siswali
Mwanahamisi
Corona noma
Angelina
Hatari sana hii
Fatina mfingi
Corona imekuwa tishio
aisha
Colona ni janga la dunia
Issa
Corona haifai kabisa
Hopemwaikuka
Majanga
Sarah
Nishidaa na hii conona