Nyota wa Lyon, Memphis Depay amesema kwamba anaweza kumaliza msimu akiwa na timu hiyo ya Ligue 1 hali ya kuwa amekuwa akihusushwa na Barcelona.

Depay ameendelea kuuhusishwa na kutimkia Barcelona na mkataba wake utaacha kufanya kazi mwisho wa msimu 2020-21.

https://meridianbetsport.co.tz/?p=61110&preview=true

Muholanzi huyo wa kimataifa alifunga mara mbili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Lens siku ya Jumatano na kuwapeleka mpaka nafasi ya kwanza wakiwa na alama tatu mbele ya PSG wanao shika nafasi ya pili.

Wakati ameukuwa akihusishwa na kuondoka, Depay amesema anaweza kumaliza kampeni akiwa na Lyon.

“Nina furaha hapa. Tunatimu kubwa kiukweli nampenda rais, tutaona nini kitatokea,”aliiambia Canal+.

“Rais na mimi tunajua nini kilitokea katika misimu minne iliyopita, acha tuendelee kusonga na kufurahia uwepo wangu hapa, naweza kuwepo hapa mpaka mwisho wa msimu.

“Acha tuendelee kuangalia mchezo wa Jumamosi, acha tuwe na furaha tuna timu kubwa.

Ni nyota wa Paris Saint-Germain Kylain Mbappe mwenye goli 16 amehusika moja kwa moja kwenye kufunga magoli mengi katika Ligue 1 kuliko Depay (14) msimu huu.

Lakini hakuna mchezaji yoyote ametengeneza nafasi nyingi kumzidi Depay (42) kwa timu ya Lyon.

Lakini Depay ametengeneza nafasi kubwa 10 na fowadi wa Marseille Florian Thauvin 12 na mshambuliaji wa Angel Di Maria 11 waliotengeneza nafasi zaidi.

Lyon watakuwa dimbani tena siku ya Jumamosi wakati wakiwatembelea Rennes.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

Depay, Depay: Naweza Kubaki Lyon Mpaka Mwisho wa Msimu., Meridianbet

BOFYA HAPA

23 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa