Diego Simeone Unaondoka Atletico??

Ni swali la kuuliza mara mbili kama ndicho alichokimaanisha Diego Simeone (El Cholo) au maana yake ni ipi hasa??

Baada ya kushuhudia timu yake [Atletico Madrid] ikitolewa kwenye mashindano ya Copa del Rey na timu ya Cornella inayocheza ligi daraja la 3, Simeone aliongea kitu ambacho kimezua maswali mengi.

Atletico wameendelea kuwa na matokeo mabaya kwenye Copa del Rey kwa miaka ya hivi karibuni. Mfumo wa kucheza mchezo 1 kwenye mashindano ya hivi karibuni, umeongeza matokeo mabaya kwenye timu hiyo.

Wachezaji wa Cornella wakishangilia ushindi dhidi ya Atletico Madrid

Goli 1 liliwatosha Cornella kuwaumiza Atletico na kuwatupa nje ya mashindano hayo kwa mara nyingine mwaka huu.

Akizungumzia mchezo huo, Diego Simeone amesema ” wachezaji wangu walijitahidi kucheza kiushindani. Kipindi cha pili ilikuwa tofauti, mchezo ulikuwa mgumu zaidi baada ya kupata kadi nyekundu.

“Haya mashindano hayajatupa furaha kwa miaka ya hivi karibuni lakini suluhisho linapaswa kupatikana kama tutaendelea kuwepo hapa mwakani.”


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

18 Komentara

    Yaani Atletico iko poa sana

    Jibu

    Atletico msivunjike moyo

    Jibu

    Watakaa sawa tu wasijari

    Jibu

    Wakaze buti

    Jibu

    Atletico wako vizuri

    Jibu

    Tunasubiri kuona maamuzi yake na msimamo wake

    Jibu

    Atletico wako poa sana

    Jibu

    Bora abaki Atletico

    Jibu

    Akomae

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi

    Jibu

    Dhuuu

    Jibu

    Hayo ni mamuziyake yeye

    Jibu

    Atletico ni timu nzuri angebakia hapo

    Jibu

    Wakaze buti

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Wasikate tamaa

    Jibu

    Sio nzur hii

    Jibu

    Maamuzi yake hayo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.