Eden Hazard Kufanyiwa Upasuaji Mwingine

Mchezaj nyota ya Real Madrid Eden Hazard anatarajia kufanyiwa upasuaki mwingine wa kuondoa “osteosynthesis plate” kwenye mguu wake wa kulia ambayo yanatarajia kumuweka nje kwa mwezi moja.

Eden Hazard ambaye alisajiriwa kwa ada ya uhamisho wa £98million akitokea Chelsea mwaka 2019 akienda Madrid, amefanilkiwa kucheza michezo 65 tu, huku akishindwa kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha Los Blancos kutokana na kupata majeruhi ya mara kwa mara.

Eden Hazard

Majeruhi haya yaatamuweka nje ya kikosi cha Real Madrid ambacho kitacheza dhidi ya  Chelsea kwenye mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya mwezi ujao.

Eden Hazard atafanyiwa upasuaji wa kuondoa ‘plate’ ambayo aliwekewa kwenye mguu wake wa kulia baada kuvunjika March 2020.

Kwa siku kadhaa zijazo, mchezaji wetu Eden Hazard, atafanyiwa upasuaji wa kuondoa  ‘osteosynthesis plate’ kwenye mguu wake wa kulia ndani ya ‘fibula”, waraka wa klabu ulisema.

Hazard amecheza michezo 22 tu msimu huu huku akianza kwenye michezo 8 ya La Liga wakati akifunga goli moja na kusaidi kupatikana mawili, pia haja fanikiwa kucheza tena tangu alipoingia kwenye mchezo dhidi ya Alaves February 19.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.