Kasino Mtandaoni Mpaka Mtaani Kwako.

Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako,mchongo uko hivi ukiwa na pesa yako unaweza kucheza Kasino kupitia mashine za Slot kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo mitaani, cha kufanya tembelea kwenye maduka hayo uweze kufurahia Kasino yenye bonasi kubwa.

 

Kasino Mtandaoni Mpaka Mtaani Kwako.

Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine “Slots” za kucheza kasino yako, na hapo jukumu lako ni moja tu ni kufuata maelekezo haya.

Unachopaswa kufanya ni kwenda kwa Keshia na atakuweka Kiwango unachohitaji kwenye mfumo ambapo kila Mashine ya Slot ina Namba zake na kiwango cha chini kucheza ni michezo 8 na kiwango cha juu zaidi ni michezo 10 lakini michezo hii inategemea na mashine anazotumia mteja.

Zingatia mashine hizi hazitumii mfumo wa Shilingi bali zinatumia Credit kwa mfano Mteja akiweka Shilingi 1000 kwenye mfumo itasoma Credit 100, kwa mantiki hiyo 1 Credit= 10 TZS.

Kiwango cha chini kuweka kwenye mashine za Slot ni Shilingi 1000 na kiwango cha juu ni Milioni moja. Na Mashine za Slot zinalipa mpaka Milioni Kumi ikiwa ni kiwango cha juu.

Kiwango cha chini kucheza kwa michezo ya Slot ni Shilingi 10 sawa na 1 Credit.

 

Kasino Mtandaoni Mpaka Mtaani Kwako.

Aina ya Michezo Pendwa Inayopatikana kwenye Slots

Katika Mashine za Slots kuna michezo pendwa na rahisi zaidi kushinda kwa mfano utakutana na mchezo wa Matunda “Sizzling Hot”, Mchezo wa Karata “American Poker”, kuna Mchezo wa “The Money”, Mwingine ambao ni rahisi zaidi ni mchezo wa King Card nao ni mchezo wa Karata, Bila kusahau “Book of RA” miongoni mwa michezo maarufu ya Misri “Egyptian Game”.

Na kingine cha zaidi kuna michezo mingi ya bure ambayo utaweza kujipatia wakati unacheza Kasino.

Kuna Bonasi za aina nne ambazo ni Bonasi ya Diamond, Platinum, Gold na Silver.
Bonasi ya Diamond na Platinum zinapatikana kwenye maduka yote ya Meridianbet nchini Tanzania ambapo Bonasi ya Diamond ni Shilingi Milioni 10, na Platinum ni Milioni 1.34.

Bonasi za Gold na Silver zinapatikana kwenye maduka yaliyopo mitaani ambapo kiwango cha Bonasi ya Gold ni Shilingi Laki Mbili na Elfu Tisini, huku Bonasi ya Silver ina thamani ya Shilingi Elfu Themanini.

 

Kasino Mtandaoni Mpaka Mtaani Kwako.

MUHIMU: Mteja ana uwezo wa kuongeza Ushindi baada ya kushinda hii inaitwa “Gamble/Double”

Unasubiri nini kucheza Kasino kwenye Slot kwani sasa zinapatikana kwenye maduka takribani 18 maduka hayo ni kama Max 03-Kariakoo, Max 19-Magomeni, Max 31- Ubungo, Max 33- Mbagala Kizuiani na Max 99- Mbagala Rangi Tatu, Max 55-Gongolamboto, Max 95 Manzese, Max 59- Buguruni Malapa, Max 81 Tandale, Max 64- Sinza, Max 63 Mwananyamala, Max 80- Karume.

Acha ujumbe