BOSI Simba Atamba na Usajili Waliofanya

BAADA ya kukamilisha usajili wa nyota wapya ndani ya kikosi cha Simba Uongozi umeweka wazi kuwa wachezaji hao watafaya kazi kubwa kukamilisha majukumu yao ndani ya uwanja. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

SIMBA

 

Huku malengo ikiwa ni kuwapa furaha mashabiki na kutimiza majukumu mama ambayo ni kuipa Ubingwa timu hiyo na kufanya vyema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo, mpaka sasa Simba iko nafasi ya pili kwenye kundi lake akiwa na alama 4 na michezo miwili imesalia.

Akizungumzia mipango ya timu hiyo Afisha Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula alisema wanajua usajili wao wameufanya kwa umakini mkubwa sana na wachezaji hao watafanya makubwa. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

“Tumeongeza baadhi ya majina kwenye klabu yetu wakati wa usajili wa dirisha dogo. Hatuna wasiwasi Kwa Sababu tulikuwa Makini kwenye kusajili, Imani yangu KAZI inakwenda kufanyika.”

Ikumbukwe kwamba dirisha dogo lililopita Simba imefanya usajili wa wachezaji 5, huku wawili ni wazawa na watatu ni wachezaji wa Kimataifa. Kuna Babacar Sarr Kiungo mkabaji, Pa Omar Jobe mshambuliaji na Freddy Michael Kouablan, Edwin Mbalua Winga na Karabaka. JISAJILI MERIDIANBET ufurahie maokoto kibao.

Kikosi cha Simba SC kipo kambini kujiandaa na mchezo wa hatua ya pili wa FA dhidi ya Tembo FC utakaopigwa Januari 31 uwanja wa Azam Complex.

Acha ujumbe