Chelsea wamedhamiria kuongeza nguvu zao kwa Beki wa Klabu ya Leicester City, Ben Chilwell baada ya kumkosa Alex Telles kutoka FC Porto ambaye alikuwa ndio target yao namba moja.
The Blues walikuwa na matumaini ya kumsajili Telles, lakini Mbrazil huyo anaemudu vema beki ya kushoto anaonekana kukubali ofa kutoka kwa Mabingwa wa Ufararansa, PSG.
Baada ya kuonekana kumkosa Telles, Sasa Chelsea ya Frank Lampard wameelekeza mawazo yao kwa mchezaji huyo kimataifa wa England, ambaye anaweza kugharimu hadi £80m.

Mkataba wa Chilwell na Leicester unamalizika 2024 labda alazimishe kuondoka Leicester, na the Foxes hawapo tayari kupunguza dau. Chaguo la 3 la Lampard la beki wa kushoto ni Nicolas Tagliafico wa Ajax, ambaye klabu ilihusishwa nae miezi ya hivi kariwho the club have been linked with in recent months.
Mkataba wa Tellles na Porto ulikuwa unamaliziika 2022 na angeuzwa kwa bei ya chini kuliko Chilwell.


Rehema Dickson
beki wa kushoto ni Nicolas Tagliafico wa Ajax, ambaye klabu ilihusishwa nae miezi ya hivi kariwho the club have been linked with in recent month