Ligi Kuu ya Tanzanian ilisimamishwa Machi baada ya serikali kuzuia mikutano kama njia ya kijikinga dhidi ya Corona, inaweza kurejea wakati yoyote wiki hii kwa maelezo ya Raisi John Magufuli.
Kwa mara ya pili ndani ya mwezi huu, Magufuli amethibitisha ana mpango wa kurejea shughuli za michezo kwasababu ya takwimu za COVID-19 kupungua.
Akiongea baada ya kauli ya Magufuli, Kocha wa Taifa Stars amesema anaamini wachezaji wengi hawatatumia zaidi ya mwezi kurejea kukamilisha msimu.

“Naelewa kuwa vilabu vingi vimewaagiza wachezaji wake ratiba ya mazoezi binafsi kufanya wakiwa nyumbani ili kuhakikisha wana utimamu wa mwili.
“Nina uhakika wachezaji wengi wana ratiba ya mazoezi, hii inamaana tutakapopanga kurejesha msimu haihitaji zaidi ya mazoezi madogo ilikuwa kuwa na ari ya ligi.”
Mkufunzi huyo wa Burundi ametanabaisha kuwa wachezaji wengi wanajuana, hivyo hahitaji muda mrefu kujiandaa kwaajili ya mechi zilizosalia.
“Tuna bahati kwasababu hatujaathirika sana na Lockdown kama nchi nyingine, wachezaji wana muda wakutosha kwenda nje kufanya mazoezi,” Ndayiragije.


Povel liwongolo
Kwl kabisa tumemis kuona kandanda na michezo mingne thanks meridian kwa habar za Kimichezo
mwakalosi
Wachezaji wa kibongo ni wavivu unaweza kuta hakuna hata mmoja aliyekuwa anafanya mazoezi binafsi
Evaluziga
Kweli kabisa tumemis michezo asanten Meridianbet kwa taarifa
David pere
Sawa lakini iwe kwa mashaliti
Antony Luseno
Kila mdau wa soka nchini Tanzania anasubiri kwa hamu
Tatu
Bora ligi iyanze nimemiss kweli kandanda
Rehema Dickson
Habari nzuri sana maana tumemic kuchek mpira
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa taarifa
Tahiya
Habari njema kwa wapenzi wa mpira
Gabriel
N habari njema ila meridianbet itabidi muangalie kuzishirikisha hata ligi zetu za Tanzania ili wateja tuweze kubet
Ester jackson
Kweli kabisa naianze mana tumemisi sanaaa
Amani
Ila inabidi wachukuliwe vipimo kwanza ndo ligi ifunguliwe#meridianbettz
Adelta
Bado wanasubiri ruksa
Kutoka kwa raisi wao
Mwajuma
Labla nawao wacheze bila mashabiki
Genia skaluzwe
Kweli tumemisi Sana mpira na michezo mingini
Hamidu
Tumemiss soka la bongo…mpeni Simba ubingwa wake# meridianbettz
winfrida
tunangoja kwa hamu kuona ligi za tanzania bara zinarudi
Warda
Mambo ni bambam #Meridianbettz
Zeiyana iddi
Tunasubir kwa amu kandanda lianze..!itakua vizuri na tutasahau korona kabic
aisha
Habari nzuri maana tumemisi kweli kuangalia mpira
frank patrick
Mungu awe pamoja nasi tu na tuweke utaratibu mzuri kufuatana na maelekezo ya wataalam wa masuala ya afya
Mwanahamisi
Bora tuu ianze maana tumemis soka la kibongo
Neema juma
Tunashukuru kwa huu ugonjwa wa corona kupungua ligi zianze kwa kweli
Khadija
bola ligi hianze maana mashabiki atuelewi#meridianbettz
Magdalena
Bora soka ziendelee ili wazidi kuwa fiti zaidi mazoezi ni muhmu Sana kwa afya yao #meridianbet
Carolyne
Tulisubiri Kwa Hamu
Isaya massawe
Itakua vizur zaid
Shafii
Tulikua tunaisubili ligi yetu ya nyumbani
Juliana
Itakuwah poa kwa mashabiki na wapenzi wa soka na wale wapenzi wamichezo ya kubashir thanks meridian kwa gud news za michezo na burudani
Ernest
Itakuwa pouwa sana sema tuu taadhari juu ya ugonjwa was Corona zichukuliwe.
Swai
Itapendezaa
Kenani
Yap kikos kazni
SADICK
Sawa wameagizwa kufanya mazoezi binafsi lakini inawezekana hakuna utekelezaji, tusubiri kuona hilo ligi ikianza #Meridianbettz
Mariam mtandama
Asante kwa taarifa meridianbet #
Furahav
Nikwel mana mambo sio mazur.
Theckla
Nasubiri kwa hamu
Samiah
Mtanange mzito huo nausubiri kwa hamu
Lydia Emmanuel Magoti
Wazeee wakaz wekundu wamsimbazi tuna subili kwahamu
Agness
Bora ligi ianze tumeimis
Issa
Safi sana