Simba SC watasubiri kidogo kujua madhara aliyoyapata Mkude kutokana na majeraha hayo aliyoyapata jana dhidi ya KMC.
Mkude aliumia dakika ya 53 ya mechi kwenye uwanja wa Mo Simba Arena na alikimbizwa haraka hospitali ya Rabininsha Memorial Hospital, ambapo alihudumiwa kisha akaruhusiwa.
Japo, daktari wa Simba, Yassin Gembe amethibitisha kwasasa anaendelea vizuri lakini ataendelea na vipimo kujua kama atakuwa timamu kucheza Ligi itakapo rejea.
“Kwasasa, Mkude ameondoka hospitali akiwa sawa mkabisa, lakini ataendela na vipimo kujua athari ya jeraha,” alisema Gembe.
Pamoja na kutoka kwa Mkude kwenye mechi, Simba walichapa KMC 3-1 na nahodha John Bocco aliweka mbili wakati Ibrahim Ajibu akimaliza la tatu.


Samiah
Good news
felister
pole mkude mwenyezi mungu yu pamoja na ww utapona
Mwanaidi
Habari zote tunazipata kwenu meridian
Rehema Dickson
Yan siku hizi sina haja ya kununua gaziti habari zote za michezo na burudan nazipata kwenu meridian
Salma
Habari njema kwa mashabiki wa simba
Ernest
Huyu jamaa ameweka heshima kubwa sana pale Msimbazi
David Pere
Wana Simba hapo wanapata auheni kidogo mnyama yupo fiti
Theckla
Atapona tu
Neema juma
Pole yake mkude utapona
Ester jackson
Daaah kiungo wa simba ameumia sijui itakuwaje tusubiri mechi nyingine tuone
winfrida
pole sana mkude
Devotha
Pole sana mkude! Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Tahiya
Ni habari mbaya kwa kikosi cha Simba Mkude ni mchezaji mzur na anahitajika
Antony Luseno
Hii ni habari njema kwa wanasimba maana midfield ikikosa wachezaji mahiri kama awa timu inayumba
Ester mmakasa
Asante kwa taarifa ya mkude Simba tunashukuru kwa hali yake.
isha
Atapona tuu
Neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz..
Evaluziga
Pole yake atapona
Hope mwaikuka
Gud to hear this
JULIANA
Pole Mkude majeraha yatapona tu
Adelta
Good news
Amani
Mungu amsaidie apone ligi inapo anza awakalishe wapinzani#meridianbettz
lombo
dah ilo n pigo kwa kipnd hik ambacho mambo yanaanza kupendeza
mathayo sonje
Japo, daktari wa Simba, Yassin Gembe amethibitisha kwasasa anaendelea vizuri lakini ataendelea na vipimo kujua kama atakuwa timamu kucheza Ligi itakapo rejea. ila nawapa pole majirani zangu kwa kilichowakuta kwa KMC, tatu kwa nyauuu!!!!
Furahav
Atapona tu,huyo jeshi.
Povel
Habar njema kwa wapenzi na mashabik wake na wazee wa msimbazi thnks meridian bet tz kwa update za michezo na burudani
Gabriel
Sio mbaya Kama anaendelea vzur but MUNGU amsaidie apone Thomas mkude
Magdalena
Habari njema ata Kama akikosa mechi moja izo Zingine atacheza vizur
Mwanahamisi
Pole sana mkude
Theonestina
Daaah Pole Sana jeshi.mungu atakusaidia utapona
Aziza mushi
Habari njema kwetu mashabiki wa simba
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana mungu amjalie akae fiti zaidi mapambano yaenderehe
Dorophina
Pole mkude arudi katika aliyake haendelee kupambana
Kenani
Jamaa ni noma sana
Caroline
Mungu ni mwema
Mwajuma
Alikuwa majeruhi lakini kwa sasa yupo fiti kwa kupambana
Genia Sikaluzwe
Habari njema kwa mashabiki wa simba
Hidaya
Pole mkude mwenyezimungu akupe afya
Shafii
Habari njema
Emmy cleopa
Habar ni nzuri sana
Sylvester
Upone haraka mzee Mkude uje kuwakimbiza Yanga
mwakalosi
sasa akipewa likizo asikimbilie kunywa mapombe yake
Rehema
Hii ni habari njema
Mariam mtandama
Mungu amponye haraka
Khadija
Pole sana mkude mungu atakusaidia utapona mechi zitakapoanza tutakuwa pamoja ##meridianbettz
Elika
Mkude namuombea apone vizuri…na arejee uwanjani kama kawaidaa
Agness
Duuh pole zake Kama anaendelea vizur
Hamidu
Kiungo fundi
winfrida
kama anaendelea vizuri ni habari njema kwa mashabiki wa simba
Latifa juma mohamed
Habar njema kwa wanasimba na washabik
Zeiyana
Ni jambo LA kheri atarudi kwenye afya yake soon
Samira
Mwenyezi mungu aendelee kumsimamia asirudi nyuma kiafya