Reece James Afichua Hatma ya Mason Mount Kwenda Utd

mount

Nyota wa Chelsea, Reece James ametoa mawazo yake juu ya Mason Mount kuondoka klabuni hapo huku mustakabali wa mchezaji mwenzake ukiwa bado haujulikani. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Manchester United tayari wameshakubaliana na kiungo huyo wa kati na wapo kwenye mazungumzo na Chelsea kuhusu ada yake ya uhamisho.

James yuko Barcelona kutazama mashindano ya Spanish Grand Prix, ambapo wachezaji wenzake wa Blues Ben Chilwell na Mount pia wako. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Na akizungumza na Sky Sports, beki huyo aliulizwa kuhusu hali ya uhamisho inayomzunguka Mount, ambaye wamekaa nae Chelsea kwa misimu kadhaa.

Alisema: “Ikiwa ataenda, kila mtu atakuwa na huzuni kumuona akiondoka.”

Liverpool na Arsenal pia wanavutiwa na Mount lakini binafsi anataka kuelekea Old Trafford. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Mount amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake Stamford Bridge kuelekea msimu ujao. Je kuondoka kwake kutaifanya Chelsea kuwa ya aina. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.