Beki wa Tottenham, Jan Vertonghen amesaini nyongeza ya mkataba hadi mwishoni mwa msimu.
Mbeligiji huyo mwenye miaka 33 mkataba wake wa awali ulikuwa unamalizika Juni 30.
Vertonghen alijiunga na Spurs akitokea Ajax 2012 na alisema mwezi Aprili kuwa vilabu tofauti vimekuja na ofa nzuri.
Sambamba na hilo golikipa Mdachi, Michel Vorm, 36, pia ameongeza mkataba kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya London.

Tottenham mechi ya mwisho kwa msimu huu, baada ya Ligi kusimama kwasababu ya Corna itakuwa dhidi ya Crystal Palace Julai 26.
Wachezaji wa Spurs ambao mikataba yao ya mkopo inaelekea ukingoni, ikiwemo Danny Rose akiwa Newcastle, atasalia huko hadi mwisho wa msimu wa 2019-20.


Issa
Spurs imefanya vizuri kuwapa mikataba wamewasaidia sana msimu unaoisha
Gabriel
Tottenham imefanya vzur kwa mkongwe huyo kumongezea mkataba maana ukiangalia vertonghen tokea aingie Hotspur 2012 tunaona mafanikio yake pamoja na worm ,vertonghen ni beki ambaye kwa upande wangu naweza kumuita kisiki maana tunamtambua vzur sana kitendo cha kuongezewa mkataba kinawapa matumain makubwa na club yao
Christopher
Hongera kwao vijana wa spurs kwa kuongeza mkataba
David Pere
Morinho ameona umuhimu wao kwenye timu Ndio maana amewaongezea mikataba
Dorophina
Habari njema hiyo kwa mashabiki wa Tottenham
Sadick
Jan Vertonghen bado wamo na Tottenham haijapata mbadala wake#meridianbettz
Sabrina
Maoni:Hongera kwa kwa kusain mkataba na kuendelea kusalia katika kikosi cha Tottenham
Mwajuma
Wanastahili hilo kwasababu bado wachezaji wazuri
Shafii
Still wanahitajika clubuni hapo kwa huduma hongera kwao kwa kuonekana na timu kua Bado wanaumuhimu
Hamidu
Spurs wamefanya kitu cha msingi! Bado ni mchezaji muhimu sana hapo tottham
Latifa juma mohamed
Wameona umuhimu ndio maana wameendeleza mkataba
mwakalosi
mou na watu wake wenye umri mkubwa
Povel
Ni habar njema kwao namashabiki wa spurs
Neema juma
Wako vizuri ndomaana wakaamua kuongeza mkataba.jambo jema
Hope mwaikuka
Habar nzur
Samira
Hengera sana vertonghen
isha
Safi sana kwa vertonghen
Ernest
Vertonghen amekuwa na msimu mzuri sana ndani ya Spurs, Ni jambo zuri kuona kama anaendelea kusalia ndani ya kikosi cha spurs.
Amiri Kayera
Saf San Liverpool
Leonard
Jambo zuri
Njiku
Vertonghen ni beki bora na tangia alipo jiunga tottenham kafanya mengi sana licha ya umri kumtupa mkono ila bado anamchango mkubwa na timu hiyo mpaka wanahitaji sahihi yake kwa kuitumikia tena tottenham
Tahiya
Ni wachezaji wazuri wanastahili kupewa mkataba mwingine
Theckla
Hawajakosea
Ester mmakasa
Wako vizuri sana spurs na maamuzi yao pia mazuri.
Neema hassan
Habari njema kwa mashabik
Omary lukumbi
Ni beki mzr tuu japo umri umemtupa mkono bado yupo fit kulisongesha gurudumu na spurs wanashindwa kumuuza kwa sasa kwa sabab mpk sasa hawajapata replacement wake kwenye nafasi hyo
Frank Patrick
Ni kama miezi mitatu fran hv Mou sasa ajirekebishe na afanye kuwaamini makinda zaidi ya hao umri magharibi
Mwanaidi
Ni vizuri kuongezewa mkataba
Magdalena
Jambo zuri Sana la kuwaongezea mikataba
warda
Ni vizuri #Meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Ni Jambo jema sana hilo
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera kwao kwavijana wa spurs kwakuongeza mkataba
Caroline
Hongera yao
felister
hongera Jan kwa kuongeza mkataba mwengine
Evaluziga
Hongera yao
Zeiyana
Kwa upande wangu naweza kumuita kisiki maana tunamtambua vzuri sana kitendo cha kumuongezea mkataba ni habari njema kwa mashabiki na pia bado clabu inamanufaa naye
Rehema
Awajakosea
Furahav
Hongera
Adelta
Habari njema kwa mashabiki
Salma
Hongera kwao
Amani
Tottenham haijapata mbadala wake#meridianbettz
Ester jackson
Pongezi sana kupata mikatama mjngine wameona umuhimu wenu katika timu haswa beki vertonghen licha ya umri wake mkubwa lakini anaumujimu mkubwa katika timu mana anatumia akili sana uwanjani pongezi sana vertobghen
Theonestina
Hongera kwao.acha tuendelee kucheka gem msimu ujao
Aziza mushi
Wapo sahihi hongera kwao kwa kuongeza mkataba.
Mwanahamisi
Hongera kwao
Elika
Safi sana
Khadija
Tottenham haijapata mbadala wake#meridianbettz
Devotha
Hongera kwao ni jambo zuri kusikia mashabiki wa spurs
Angelina
Hiyo imekaa poa
Emmy cleopa
Hongera kwao