Ronaldo Angejifunza kwa Messi
Football

Aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Rafael Van Der Vaart anasema Ronaldo angejifunza kutoka kwa Messi na kubakia Real Madrid. Ronaldo ambaye aliondoka Real na kujiunga na Juventus alikuwa mchezaji muhimu sana …

Soma zaidi
Uso kwa Uso Mourinho na Pochettino Leo
Football

Man utd anamkaribisha Tottenham wa Pochettino pale Old Trafford, wote wamecheza mechi mbili mpaka sasa. Wakati Spurs akianza vizuri kwa kushinda mechi zake zote dhidi ya Newcastle United na Fulham, …

Soma zaidi
Mario Mandzukic Achomoa Kwenda Man Utd
Football

Straika wa Juventus Mario Mandzukic amechomoa ofa ya kuhama Juventus na kujiunga na mashetani wekundu. Mwanzo ililipotiwa kuwa Mourinho alikuwa anamfukuzia straika huyo kwa mbinde. Mario Mandzukic ambaye ana umri wa miaka …

Soma zaidi
Wolverhampton Amemkazia Man City
Football

Gemu imeisha kwa sare ya 1-1. Wolves amekutana na Man City leo akiwa na mzimu wa kichapo 2-0 kutoka kwa Leicester huku akitoa sare na Everton akikutana na mbabe aliyewachapa …

Soma zaidi
Aston Villa Wamnasa Bolasie!
Football

Winga wa Everton Yannick Bolasie amejiunga Aston Villa kwa mkopo msimu mzima. Bolasie amekuwa mchezaji wa 4 kwa Aston Villa kusajiliwa kwa mkopo baada ya kuwasajili wengine wa 3 ambao …

Soma zaidi
Sarri: “Nina Deni Kubwa kwa Benitez”
Football

Bosi wa Chelsea, Maurizio Sarri anasema anadaiwa deni kubwa la fadhila kwa Rafael Benitezi wa New Castle United. Bosi huyu aliipotea timu ya Napoli kutoka katika mikono ya Benitez mwaka …

Soma zaidi
Arsenal Atachomoka Leo?
Football

Arsernal wa Unai Emery leo anamkaribisha West Ham United pale Emirates Stadium. Washika mtutu na washika nyundo wote wana njaa ya kupata pointi leo baada ya kuanza vibaya. Je nani …

Soma zaidi
Everton Watampoteza Ademola Lookman!
Football

Winga wa Everton, Ademola Lookman anaripotiwa kuwa ameshaandaliwa kuondoka Everton kujiunga na RP Leipzig. Taarifa hizi zimeripotiwa na chanzo cha habari cha The Mirror kuwa tayari mchezaji huyu yuko mbioni …

Soma zaidi
“Arsenal Hawahitaji Kombe”
Football

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Arsenal Alan Smith amesema kwa sasa Arsenal hawahitaji kushinda ubingwa, inahitaji tu mabadiliko chanya. Alan Smith amesema hayo kufuatia washika mtutu hao kuanza vibaya msimu wakiwa …

Soma zaidi
Wajue Wafungaji Maridadi Primier League!
Football

Rekodi ya Alan Shearer ya jumla ya magoli 206 inaweza kuvunjwa na vijana maridadi wanoendelea kuonekana katika orodha ya wafungaji wenye magoli mengi kwenye Primier League. Ifahamu hapa orodha ya …

Soma zaidi