West Ham Wametuma Ofa kwa Lopetegui Anayelengwa na Milan
Daily News

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, West Ham wametuma ofa kwa  Julen Lopetegui ambaye analengwa na Milan na tayari amekutana na mmiliki wa Rossoneri, Gerry Cardinale. Milan itatengana na …

Soma zaidi
AZAM FC NAO NI MWENDO MDUNDO LIGI KUU
SOKA LA BONGO

Ushindi wa Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu unawapa pointi tatu mazima huku mwamba Feisal Salum akifikisha mabao 14. Azam FC wameituliza Ihefu kwenye mchezo …

Soma zaidi
PACOME ATAJA SIKU ATAYORUDI UWANJANI
SOKA LA BONGO

Kiungo wa Klabu ya Yanga Pacome Zouzoua amefunguka siku ambayo atarejea Uwanjani, Baada ya kukosekana Kwa muda mrefu. Hadi kufikia leo, inakuwa zimefika takribani wiki nne tangu alipopata jeraha kwenye …

Soma zaidi
AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO
SOKA LA BONGO

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ameibuka na kutoa neno nzito Kwa Mashabiki Baada ya siku mbili kupita tangu walipofungwa na Yanga 2-1. Ahmed amesema, ni kweli …

Soma zaidi
Simeone Inzaghi Bado Yupo Sana Inter
News

Kocha wa klabu ya Interzionale Milan Simeone Inzaghi bado yupo sana ndani ya klabu hiyo vinara wa ligi kuu ya Italia kutokana na kauli aliyoitoa leo mbele ya waandishi wa …

Soma zaidi
Beki Bayern Leverkusen Bado Dili Sokoni
Bundesliga

Beki wa klabu ya Bayern Leverkusen raia wa kimataifa wa Burkinafaso Edmond Tapsoba ameendelea kua kivutio cha vilabu mbalimbali vikubwa barani ulaya. Beki huyo wa kimataifa wa Burkinafaso inaelezwa maskauti …

Soma zaidi
Bayern Munich Yamfukuzia Ferlan Mendy
Bundesliga

Miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Bayern Munich inafukuzia saini ya beki wa kushoto wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Ferlan Mendy. Bayern Munich …

Soma zaidi
Manchester United Kukipiga Leo na Majeraha Kibao
FA Cup

Klabu ya Manchester United leo itakipiga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Fa nchini Uingereza huku ikiwa na majeruhi kibao kwenye kikosi chake haswa eneo la ulinzi. Manchester …

Soma zaidi
CHANGALAWE AMPIGA MMISRI ATINGA NUSU FAINALI
Boxing

Nahodha wa kikosi cha Faru Weusi wa Ngorongoro Yusuf Changalawe amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kumchakaza mpinzani wake Abdelgawwad Orabi Salah kutoka Misri kwa points 5-0. Huu …

Soma zaidi
HAWA WAKO KWENYE VITABU VYA KARIAKOO DABI
SOKA LA BONGO

NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba kwenye mzunguko wa kwanza mchezo …

Soma zaidi
1 2 3 4 5 6 2,040 2,041 2,042