Wajue Wafungaji Maridadi Primier League!

Rekodi ya Alan Shearer ya jumla ya magoli 206 inaweza kuvunjwa na vijana maridadi wanoendelea kuonekana katika orodha ya wafungaji wenye magoli mengi kwenye Primier League. Ifahamu hapa orodha ya watata wa magoli kwa sasa ambao huenda wakaivunja rekodi inayoshikiliwa na Alan Shearer.

10. Jamie Vardy amepata magoli 63 katika Primier league akichezea Leicester

9. Theo walcott amefunga magoli 69 katika Primier League akichezea Arsenal na Everton

8. Eden Hazard nae amefunga magoli 69 katika Primier League akichezea Chelsea

7.  Christian Benteke amefunga jumla ya magoli 69 katika Premier League akichezea Aston Villa, Liverpool na Crystal Palace

6. Daniel Sturridge amefunga magoli  75 katika Premier League akichezea Man City, Chelsea, Bolton na Liverpool

5. Olivier Giroud amefunga jumla ya magoli 76 katika Primier League akichezea Arsenal na Chelsea

4. Romelo Lukaku amefunga jumla ya magoli 102 katika Primier League akichezea West Brom, Everton na Man United

3. Harry Kane amefunga magoli 109 katika Primier League akichezea Tottenhum

2. Sergio Aguero amefunga magoli 146 katika Premier League akichezea Man City

1.  Jermain Defoe amefunga jumla ya magoli 162  katika Premier League akichezea  West Ham, Tottenham Portsmouth, Sunderland na Bournemouth

 

3 Komentara

    Duuh kweli walitisha sana

    Jibu

    Eeeeh! Bwanaee wametisha

    Jibu

    Duh noma sana hiiii

    Jibu

Acha ujumbe