Ac Millan wanadaiwa kuwa wapo katika mazungumzo ya kumnasa kijana machachari bwana Adrien Rabiot kutoka PSG. Millan wanamuhijaji Adrien Rabiot katika Seria A kati ya mwezi january au msimu ujao wa kiangazi kipindi akiwa huru baada ya mkataba wake kuisha.
Adrien Rabiot ambaye ana miaka 23 anadaiwa kuwa kwenye mazungumzo japokuwa bado hajasaini ofa iliyowekwa mezani huku meneja wake Thomas Tuchel, akiweka wazi kuwa hatma ya mchezaji huyo ipo mikononi mwake. Thomas Tuchel anasema Rabiot ni mchezaji mzuri ila anaweza kuamua kama ataendelea kuwepo hapo au ataondoka, na anafahamu Rabiot anatambua kuwa meneja wake huyo anapenda kufanya kazi na yeye na kudai kuwa anatakiwa kujitahidi kuwa mchezaji mkubwa zaidi.


Gabriel
Habar njema